August 21, 2017

July 24, 2017

July 21, 2017

Ubongo Kids – Kuza Ubongo na Fikra Endelevu!

July 21, 2017

Usikate tamaa! | Ujumbe kutoka kwa Koba, Kibena, Kiduchu, Amani na Baraka!

July 21, 2017

Top 5 GIRL POWER Moments in Ubongo Kids

June 5, 2017

Ubongo Kids MPYA inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani!

June 5, 2017

Jamani! Mwaka huu, Ubongo Kids ni ZAIDI ya hisabati na sayansi! Msimu huu si KAMA ULIVYOZOEA! Ubongo Kids MPYA inamjenga mwanao, ikimpa fikra … New Ubongo Kids grows your mind/ Tumia Ubongo! # Season3 (Official Trailer)

February 7, 2015

Msimu wa pili wa Ubongo Kids umeanza TBC1! Msimu huu unafundisha hisabati pamoja na sayansi. Angalia Ubongo kids msimu wa pili kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1. Tumia Ubongo! The second season of Ubongo Kids has premiered on TBC1! This season finds the fun in learning both math and science! Watch Ubongo Kids Season 2 every Saturday and Sunday morning at 9am on TBC1. And remember to use your Ubongo!

June 23, 2014

Angalia video yetu ya Kombe la Dunia hapa hapa. Timu ya Ngedere F.C. wanashindana na Sungura Sports Club! Ushindi ni kujipanga na kujipanga ni hisabati!

June 22, 2014

Timu ya Ubongo Kids tupo kwenye mashindano ya Pivot East, Nairobi, Kenya. Kufahamu zaidi kuhusu Pivot East, tembelea tovuti yao kupitia http://www.pivoteast.com Vile vile unaweza kuangalia “Pitch Video” yetu hapa:

June 20, 2014

Angalia Webisode ya 22 ya Ubongo Kids: Umuhimu wa Takwimu. Katuni hii ya Kiswahili inafundisha kuhusu takwimu na grafu. Angalia Ubongo Kids (proud partner of CRDB Bank) kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1! Na pata webisodes zote kupitia: http://www.ubongokids.com Ubongo Kids ni mfululizo mpya wa hadithi za kusisimua iliyo katika mfumo wa elimu-burudani kutoka UBONGO MEDIA ya Dar es Salaam. Inaonyeshwa kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1.

June 17, 2014

Imba na Mama Ndege kuhusu umuhimu wa takwimu! Sing with Mama Ndege about the importance of statistics! Watch Ubongo Kids African animations that help kids find the fun in math! Angalia Ubongo Kids (proud partner of CRDB Bank) kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1! Na pata webisodes zote kupitia: http://www.ubongokids.com Ubongo Kids ni mfululizo mpya wa hadithi za kusisimua iliyo katika mfumo wa elimu-burudani kutoka UBONGO MEDIA ya Dar es Salaam. Inaonyeshwa kila jumamosi na jumapili saa 3...

January 18, 2014

Leo asubuhi kipindi cha “Ubongo Kids” kimerushwa kwa mara ya kwanza kupitia TBC1. Kama ulishindwa kuiangalia, usijali! Kila wiki tutaweka “webisode” mpya ya “Ubongo Kids” hapa hapa kwenye tovuti yetu. Hii, ya kwanza, inaitwa “Heka Heka za Panya” na inafundisha kuhusu kuhesabu, kujumlisha na kutoa.

January 17, 2014

Uzinduzi wa JJ Ubongo Kids ulifanyika leo katika Century Cinemax ya Oyster Bay.  Picha zipo hapa. Kipindi kitaanza kurushwa kesho saa 3 asubuhi kupitia televisheni ya taifa, TBC1. Picha zipo hapa:

April 5, 2012

UBONGO Media kwa kushirikiana na CRDB Bank PLC, inapenda kukutangazia kuwa kipindi cha Ubongo Kids kitaanza kurushwa hewani kupitia televisheni ya taifa (TBC1) kila siku ya Jumamosi na Jumapili saa tatu asubuhi kuanzia tarehe 18 Januari. Usikubali kupitwa na Ubongo Kids!